Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
2000 - Eric Morley anafariki Dunia.
Ni mwanzilishi wa Mashindano ya Miss World.
2000 - Eric Morley anafariki Dunia.
Ni mwanzilishi wa Mashindano ya Miss World.
2008 - Miriam Makeba anafariki Dunia huko Nchini Italy wakati akifanya show yake.
Pia anajulikana kama Mama Africa, baadhi nyimbo zake ni Pata pata, Malaika n.k.
UmeelewekaVyanzo mbalimbali vya habari vinasema kuwa aliamua kuiua familia yake kutokana na umaskini aliodai umemkabili kufikia kushindwa kuihudumia familia yake.
Lakini baada ya kuiua familia yake alioa mke mwingine na kubadili jina na kwenda kuishi mji mwingine mpaka pale alipokamatwa miaka 18 baada ya kufanya mauaji yale ya kinyama.
Alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani na kabla ya kupotea maisha akiwa anatumikia kifungo chake.
Aisee, wanyaki si wakuchezeaWeka akiba ya maneno mkuu
Umetisha sanaSimba hamna kipa
Mdhaongezwa
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Kutoka kwa?Leo katika Historia:
1953 - Cambodia yajipatia Uhuru wake.
Kwa aibu1948 - Luis Felipe Scolari anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Chelsea, Ureno na timu ya taifa ya Brazil.
Aliipa Brazil ubingwa wa Dunia mwaka 2002.
Aliiongoza Brazil katika michuano ya kombe la dunia iliyofanyika katika ardhi ya nyumbani na kutolewa katika Nusu fainali na Ujerumani kwa kipigo cha 7-1.
HBD Del pielo1974 - Del Piero anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Italy.
Moja kati ya wachezaji bora wa wakati wote Italy imewahi kuwa nayo.
Mfungaji bora wa wakati wote katika Serie A.
Ametwaa kombe la dunia mwaka 2006 akiwa na Italy iliyosheheni mastaa kama Pirlo, Totti, Luca Toni, Fabio Grosso, Materazzi, bila kumsahau Gigi Buffon.
Wakati Dunia haiamini kinachotokea2016 - Donald Trump anashinda Urais wa nchi ya Marekani.
Na sijalibiwi unamuunga mkono?Leo katika Historia:
If u can't beat him, join him.
Sikumuunga mkono Trump lakini ameshinda hivyo sina budi kumuunga mkono kama Rais mpya wa Marekani.
Kwa udhamini mnono wa Donald Trump a.k.a Usiyempenda kaja niwatakie jioni njema.
Si uende kwa Mugabe?ukienda usa unakutana na Trump, ukienda Russia unakutana na mnyama puttin, Korea unakutana na KIM..ukirudi home unakutana na JPM
Nahama sayari
Haha mkuu ulikua upande wa TB Joshua?Leo katika Historia:
If u can't beat him, join him.
Sikumuunga mkono Trump lakini ameshinda hivyo sina budi kumuunga mkono kama Rais mpya wa Marekani.
Kwa udhamini mnono wa Donald Trump a.k.a Usiyempenda kaja niwatakie jioni njema.
SanaaaHebu leo tupongezane my sisy, walitubeza lkn kombe ndo tumebebaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Uko fairLeo katika Historia:
If u can't beat him, join him.
Sikumuunga mkono Trump lakini ameshinda hivyo sina budi kumuunga mkono kama Rais mpya wa Marekani.
Kwa udhamini mnono wa Donald Trump a.k.a Usiyempenda kaja niwatakie jioni njema.
Usiku mwemaUsiku mwema wapendwa