Poa sana,Niajezzz??
Ww si moderator ndo maana huna tatizoMimi kwangu iko poa kabisa tangu asubuhi
Hivi Mods walikukosea nini?Ww si moderator ndo maana huna tatizo
Akilewa anawatukanagaHivi Mods walikukosea nini?
Maana daily kuwasakama
......
ImetuliaMimi kwangu iko poa kabisa tangu asubuhi
Tatizo mnaweka e.mail orijinoPoa sana,
Hivi nyie wote leo mnapata hili tatizo la notification zinakuja moja kwa moja kwenye email badala ya kwenye application??
Kama kuna mwenye namba ya mods naomba anipe niwapigie now tafadhali???
Amepona?wenzio wanasema urudi huku.
badoAmepona?
Amechizika kwa banBAN zimemuharibu
......
Issue serious pekee ndo natumia e.mail orijinokuanzia sasa ntafollow your steps
Wewe kibokoIssue serious pekee ndo natumia e.mail orijino
Mitandaoni kutumia e.mail orijino inahatarisha pia mambo yako mfano FB mtu anaweza "kuingilia akaunti yako" kiulaini
Hivyo mitandao yote huwa nawekaga feki/najitungia tu na huwa haigomi kusign in
......
SanaBAN zimemuharibu
......
Mh hao mods hata ID zao tu sizijui ndo sembuse namba afu email nliyotumiaga jf sijawah hata kuifungua sijui kama bado ina-exist, kwani hilo tatizo la email ni wakati unatimia app tu au hata browser?Poa sana,
Hivi nyie wote leo mnapata hili tatizo la notification zinakuja moja kwa moja kwenye email badala ya kwenye application??
Kama kuna mwenye namba ya mods naomba anipe niwapigie now tafadhali???
HahahahahahaMh hao mods hata ID zao tu sizijui ndo sembuse namba afu email nliyotumiaga jf sijawah hata kuifungua sijui kama bado ina-exist, kwani hilo tatizo la email ni wakati unatimia app tu au hata browser?