Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Nawe pia amaizing, za sikuAsubuh njema wapendwa
2016 - Samwel Sitta anafariki Dunia.
Alikuwa ni spika wa Bunge la tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alifahamika zaidi kama Mzee wa Viwango.
Du hili jina kulitamka ni shida1952 - Modibo Sidibe anazaliwa.
Ni Waziri Mkuu wa Mali.
RIP Sitta2016 - Samwel Sitta anafariki Dunia.
Alikuwa ni spika wa Bunge la tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alifahamika zaidi kama Mzee wa Viwango.
Sawa.nakwako piaAsubuh njema wapendwa
Okay.. NiceHonestly everything is very good here
Leo katika Historia:
1944 - Franklin D. Roosevelt anachaguliwa kwa mara ya nne kuwa Rais wa Marekani.
Rekodi ambayo inasimama mpaka leo.
1991 - Magic Johnson anatangaza kuwa ameathirika na HIV na anastaafu mchezo wa kikapu katika ligi ya NBA.
1963 - John Barnes anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza. Asili yake ni Jamaica.
1978 - Mohamed Aboutrika anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Misri. Moja kati ya viungo bora kuwahi kutokea Africa.
1978 - Rio Ferdinand anazaliwa.
Beki wa zamani wa West Ham, Leeds United, Man Utd, QPR na timu ya taifa England.
Alisifika kwa matumizi makubwa ya akili na uwezo wake mkubwa wa kuusoma mchezo.
Klabuni Man Utd alitengeneza kombinesheni ya hatari na Nemanja Vidic.
Ametwaa mataji 6 ya EPL na klabu bingwa ya Ulaya mwaka 2008.
Ni role model wangu na moja kati ya mabeki niliokuwa nawakubali.
1990 - David De Gea anazaliwa.
Ni golikipa wa Man Utd na timu ya taifa ya Spain.
Ni zao la akademi ya Atletico Madrid, anatajwa kama mmoja kati ya magolikipa bora wa zama hizi kando ya Buffon, Neur na Lloris.
2011 - Joe Frazier anafariki Dunia.
Alikuwa ni bondia mahiri toka nchini Marekani.
Alijulikana kama The smokin Joe.
Alipigana na Mohamed Ali katika pambano maarufu la " Thrilla in Manila "
2016 - Samwel Sitta anafariki Dunia.
Alikuwa ni spika wa Bunge la tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alifahamika zaidi kama Mzee wa Viwango.
Shukrani kwa historiaLeo katika Historia:
Kwa hisani ya Ibra Cadabra niwatakie wiki njema.
Rip Sitta2016 - Samwel Sitta anafariki Dunia.
Alikuwa ni spika wa Bunge la tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alifahamika zaidi kama Mzee wa Viwango.
poa poa mkuuShukrani kwa historia