Kwanza mimi siyo Rais
Nilijua hauko serious maana nakufahamu ni mtu poa na nafuatiliaga nondo zako
Nilikuelewa ndio maana nikafafanua kisha nikaweka neno "kohsrehere chako" kiutani tu
Comment nilifuta ndio kawaida yangu maana sipendagi majibishano na watu au shari yaani sipendagi watu waniquotequote
Kiufipu "tumetaniana" tu
Wala usiwaze
Mi nipo kawaida tu
........