Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Hello my sisyShemlaaa
Habari ya wewe?
Hello my sisyShemlaaa
Habari ya wewe?
Hata yeye hajui nafikiri anajiandaa kumtumbuaanajua Jpm kwamba kaleta nn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahaha Ni sawa na kukataa lifti kwenye range rover ...eti kisa una miguu.... baada ya kutembea mwendo mrefu na kuchoka..... unakutana na baiskeli uniomba lifti
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Msikiti ili waislamu washindie huko...uzalishaji mali ushuke
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata yeye hajui nafikiri anajiandaa kumtumbua
mbona mchaka mchaka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha tumbona mchaka mchaka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kante alikuwa wapi siku ya arsenal?Eti pogba+ herera= ngolo kante
We subiri waje darajani pale watajuta kutufaham sasa hivi 3-4-3 ni hatari sanaKante alikuwa wapi siku ya arsenal?
Chelsea si lolote ndugu, juzi mlikuwa na bahati ya kufunga tu, lakini mpira mlichezewa sanaWe subiri waje darajani pale watajuta kutufaham sasa hivi 3-4-3 ni hatari sana
Nahisi katika wale wanne we ni mmoja wapoChelsea si lolote ndugu, juzi mlikuwa na bahati ya kufunga tu, lakini mpira mlichezewa sana
[emoji12] Hizi storry za Man United na Chelshit haziishi tu?Nahisi katika wale wanne we ni mmoja wapo
Sasa mpira nini kama sio magoli?
Chelsea si lolote ndugu, juzi mlikuwa na bahati ya kufunga tu, lakini mpira mlichezewa sana
Nakusubiria na wewe uje pale darajani utajuta hii style ya 3-4-3 ni sheeeeda hivi sasa[emoji12] Hizi storry za Man United na Chelshit haziishi tu?
Nije mara ngapi?Nakusubiria na wewe uje pale darajani utajuta hii style ya 3-4-3 ni sheeeeda hivi sasa
Nilifikiri ni arsenal kumbe we ni pogbackNije mara ngapi?
Wakat mmeshatupiga 4
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakukurupuka hajui alitendalo
Habari ya mimi safi tu shemeji, sijui wewe kipenz changu..Shemlaaa
Habari ya wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi sijui kabisa, kifupi ni mgeni pande hizo
Duh!! We jamaa siku chama lako likishinda ni tabu tupu.. Hii si ishaluwa past tense brazaaEti pogba+ herera= ngolo kante