Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
tatizo humu hatujuani,usikute ndugu yangu[emoji2] huyu jamaa wa Muhas nmefuatilia post zake,
Aisee nmemvulia kofia [emoji119] [emoji119]
Vituko vyake ni nomaaaa
tatizo humu hatujuani,usikute ndugu yangu[emoji2] huyu jamaa wa Muhas nmefuatilia post zake,
Aisee nmemvulia kofia [emoji119] [emoji119]
Vituko vyake ni nomaaaa
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]uchochezi![]()
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Upuuzi tu ule
Angesubiri wazike ndo aseme alifiwa
Keshaharibu maama huko msibani watamtafuta na wapenda sifa watapost hadi picha za maiti/kaburi
Naona akufikiria now huko Ilomba kila mtu ataijua Id yake
Mimi pia hapo Ilomba kuna ndugu zangu nahisi pia wapo humuhumu Jf
Kwanza mimi msibani huwa siandiki jina langu halisi kwenye rambirambi naweza andika tu feki mfano KIAZI MVIRINGO inatosha
.............
Wazee wa kudodosaanaitwa nani huku??
Kishikwambi, sio kademuSimu yangu sijawahi kuweka password kwangu usumbufu tu
Huwa sipost wala kuhifadhi uchafu
Nikichat na mtu mfano WhatsApp huwa nafuta nikitaka kuiacha simu mahali au sehemu ambayo simuamini mtu NALOG OFF kwanza Jf hata nikiwa na kademu kangu nafanya hivyo
............
urudi huku mirembe haraka sanaWazee wa kudodosa
Umetisha sana![]()
Copyright 2016@The Book Inc.
nikutengenezee jina lako?Umetisha sana
Sijambo kabisa. Vipi wewe?
Naona hii picha inathibitisha sisi masokwe.....[emoji35][emoji35][emoji35]
Pole Kikofia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli..
JF ukishafahamika tu, unakuwa hauko huru tena
Eg. Mm nligundua Id ya ma mdogo wangu na jinsi anavyopost Jf utumbo basi ikawa kero kwangu ila mwisho wa siku nilibidi nibasilishe password zake ili ashindwe kuingia then afungue mpya.
Sometime nilikuwa namchokoza Pm(kwa sababu hanijui) basi alikuwa yuko slope sana..
Kilichofuata ni kuzngua tu account yake
poaaaaaaaaSijambo kabisa. Vipi wewe?