makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,490
Jiko lenyewe la kuni.. Linapikiwa hadi wali wa shughulin[emoji57] [emoji57][emoji41] Bitoz sasa hivi amepata jiko, kasoro mimi tu.
Najifariji kwa kujiita hip hop(gangster) ili nifiche mapungufu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh!! Pole jombaa mungu atakuafuBitoz leo kaamka vibaya yupo Mabibo Beach Dispensary
Hatoweza kumwekea Dikteta picha
...........
Nakumbuka uliumwa kisononoMimi mara ya mwisho kuumwa ilikiwa ni 2004
Kina umuhim wake sema basi tuu.. Watu wenyewe kuumwa mpaka miaka 10 ikatke..Halafu kitambulisho cha Bima nilikikitafuta hadi uvunguni sijakipata...huwa nakitegemea
Leo mifuko itatoboka
........
Alifanya kipi kikubwa katika kemia na uhandisi!!?1833 - Alfred Nobel anazaliwa.
Ni mwanakemia na Mhandisi toka nchini Uswizi.
Ndio mwanzilishi wa Tuzo ya Nobel iliyoanzishwa kwa ajili ya kutambua michango mbalimbali ya watu katika Jamii.
Alifanya nin.. Jina sio geni kabsa ila kisa sijui..
Gavana1967 - Paul Ince anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man Utd na Liverpool.
Alikuwa ni kiungo wa shoka sana katika enzi zake.
Aliuzwa na kocha wa Man Utd, Sir Alex Ferguson baada ya kuwaambia wachezaji chipukizi akina Giggs na Scholes wamwite yeye Gavana.
Kamnywesooo1980 - Kim Kardashian anazaliwa.
Ni mwanamitindo na muigizaji yoka nchini Marekani.
Majani ya mpapai unataka kufua nguo au!?[emoji23] [emoji23]Majani ya mpapai
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Sina kawaida ya kuumwaumwa ndio maana kitambulisho sojakionaKina umuhim wake sema basi tuu.. Watu wenyewe kuumwa mpaka miaka 10 ikatke..
[emoji23] ni kwel.Nakumbuka uliumwa kisonono
Baada ya kupona ukaanza kuwa mpiga puli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Mie nishasahau na kuumwa.. Nikienda hosptl ujue kutoa jino au kumtizama mgonjwaSina kawaida ya kuumwaumwa ndio maana kitambulisho sojakiona
Mara ya mwisho kwenda hospito ni mwk jana nilipata kaajali nilikichoma msumari hivyo tetenus ilihusika
.........
Fresh tu, vip kakaPoa jirani, vp wewe
Puli ni dawa kwako, maana inakutibu magonjwa mengi[emoji23] ni kwel.
Ilikuwa ni 2004 ndo niliugua huo ugonjwa, ila baada ya kuanza kupiga puli sijawahi kuugua ugonjwa wowote ule
[emoji23] maigizo ya rambi rambi yamepamba motoSina kawaida ya kuumwaumwa ndio maana kitambulisho sojakiona
Mara ya mwisho kwenda hospito ni mwk jana nilipata kaajali nilikichoma msumari hivyo tetenus ilihusika
.........
Genda heka linakuona
[emoji115] [emoji115] [emoji117] [emoji35] [emoji37] [emoji35] [emoji37]
Upuuzi tu ule[emoji23] maigizo ya rambi rambi yamepamba moto
Bitoz katoa 550000
Shululu katoa 700000
Makaveli katoa 420000
[emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23]Upuuzi tu ule
Angesubiri wazike ndo aseme alifiwa
Keshaharibu maama huko msibani watamtaduta na wapenda sifa watapost hadi picha za maiti/kaburi
Naona akufikiria now huko Ilomba kila mtu ataijua Id yake
Mimi pia hapo Ilomba kuna ndugu zangu nahisi pia wapo humuhumu Jf
Kwanza mimi msibani huwa siandiki jina langu halisi kwenye rambirambi naweza andika tu feki mfano KIAZI MVIRINGO inatosha
.............