Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Ni mmoja kati ya walimu nnaowakubali zaidi waliowahi kuwepo hapa ulimwenguni3.Gautama Buddha;
alikuwa mwalimu wa kiroho kutoka India.
Kutokana na mafundisho yake, ulianzishwa Ubuddha ambao unatazamwa kwa kawaida kuwa dini.Katika mapokeo mengi ya Kibuddha anatazamwa kama Buddha mkuu wa wakati wetu, ambapo "Buddha" maana yake ni "aliyeamshwa" au "aliyeangazwa.
Miaka yake ya kuishi haina hakika: wanahistoria wengi wa mwanzo wa karne ya 20 walitaja miaka 563 KK hadi 483 KK hivi,lakini maoni ya siku hizi yanataja mwaka wa kufariki kati ya 486 KK na 483 KK au, hata kati ya 411 KK na 400 KK.
Gautama, anayejulikana pia kama Śākyamuni ("Mwenye hekima wa Śākyas"), ni mwalimu mkuu wa Ubuddha.
![]()