karibu tena,mimi sasa ndo mwenyeji wako
Asante sana. Hebu nikumbushie ile ya mwanzokaribu tena,mimi sasa ndo mwenyeji wako
umenipoteza ipi tena?Asante sana. Hebu nikumbushie ile ya mwanzo
Tumeponea chupi chupiWasukuma wamekaza. . naona refa naanza uswahili
...
Hii mbona sijawahi kuionaGenda Heka!!???!!
Nimeangalia kwa jicho la 3Tumeponea chupi chupiView attachment 421520ila mwisho wa siku tumezoa point 3.
ilikuwepo wakati wewe haupoHii mbona sijawahi kuiona
Hapo Sawa. Now umekuwa mwenyejiilikuwepo wakati wewe haupo
kabisa yaaan bado kidogo nikupite likesHapo Sawa. Now umekuwa mwenyeji
[emoji15] [emoji15] [emoji15] jitahidi aisee.kabisa yaaan bado kidogo nikupite likes
Inaonekana wako juuWasukuma wamekaza. . naona refa naanza uswahili
...
Kwa mbinde sanaTumeponea chupi chupiView attachment 421520ila mwisho wa siku tumezoa point 3.
najitahidi sana kupost hata kama ni ujinga[emoji15] [emoji15] [emoji15] jitahidi aisee.
Simba hawana kituNimeangalia kwa jicho la 3
Vibonde Mbao Fc wa Usukumani wamefichua udhaifu wenu mkubwa
Hamna plan B ....
magoli yenu mechi nyingi yanatokana na mipira ya adhabu(kona,penati,freekick)
Ikirokea mkakutana na timu inacheza kikauzu mnashikwa kiurahisi maana hamna plan B mmezoea kucheza pasi fupifupi tu
Hongereni kwa pt 3
.......