Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyu wangu kiboko.. Na ndio maana nafaid pekee yangu, michepuko inamshindwa.. Na anajua kuwa shughuli pevu, ananipikia msosi mzito maprotein ya kutosha, mazoez asubuh na jion..

Lait kama mazoez ninayofanya ningekuwa sidinyi hata kidog au nadinya hawa wa nusuu saa kwake adhabu, hope ningekuwa the strongest man kwenye dunia hii
Laiti hiyo time, power na concentration ungeiweka kwenye financial issues ungekuwa mlinionea Bongo.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nyie endeleeni kukimbizana na sehemu mlipotokea(kuzaliwa)
[emoji12] nawaambieni HAMTAPAWEZA kamwe..!
Wewe iuwe misuli tu uje kupata manfongo, shaur lako.. Wenzio pale tumeumbiwa sisi.. Muumbaji mwenyewe aliona hilo swala akamleta eva au unadhan kwanin baada ya kumuona adam mnyonge hakumuumbia peter ampe kampan, akampa eva.. Dudu killer wee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Laiti hiyo time, power na concentration ungeiweka kwenye financial issues ungekuwa mlinionea Bongo.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mie ni milionea wa nafsi, roho, na akili.. Nmeridhika hapa nilipo... Hayo mengine waachie wakina bakhresa although bado nina nafasi kubwa cz umri unaruhusu, akili ninazo na nguv ipo ya kutosha...

Siwez kumnyima mama watoto haki yake ya ndoa, nilimuolea nini binti wa watu nije kumtesa na genye zake.. Ningetaka ningekuwa jonax chaputa[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom