Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
kumbe....Yasemekana jamaa alikuwa mtata kichiz..
Hata bob aishawahi kumwambia utata wako ndii utakuja kukumalza
kumbe....Yasemekana jamaa alikuwa mtata kichiz..
Hata bob aishawahi kumwambia utata wako ndii utakuja kukumalza
Wazee wa haki za binadamu....af wenyew hawazifuatiWaduwanzi kichiz
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mkuu unataka kuleta uchochezi hapa, Saddam Hussein alikuwa rais wa Kuwait.
Kosa la mitandaoni likikukuta kwa kumkosoa rais utujulishe tu.
Ukiwa against na America watakufanyia fitina tuMzee wa watu walimuonea sana
hilo ndilo la msingi zaidi...Katibu wetu amerudi, Kwanza aweke picha
pamoja.Asante mussolin, nawe siku njema pia
kanishtua sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuwait tena!!
Za masiku ndugu yaanguInakuwaje boi
pamekucha muda mrefu sana ,kwema ndugu ?..kumekucha makapuku wenzangu?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mkuu vpMakaveli na mkushi pateni ushahidi hapo
we umeona nini?Nchi hii makapuku ni wengi sana!
Nimewatembelea leo mmejificha pekeenu mnajadili nini huku
KaribuNchi hii makapuku ni wengi sana!
Nimewatembelea leo mmejificha pekeenu mnajadili nini huku
Nchi ya viwanda na uchumi wa kati!we umeona nini?
Akiona hapafai atageuza mdogo mdogo [emoji125]we umeona nini?
Ndipo tunapoelekea ,Nchi ya viwanda na uchumi wa kati!
kama umeona hivyo basi tulia ule mema ya nchi ya yakoNchi ya viwanda na uchumi wa kati!