Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Mnyarwanda hawezi ongea English km ilehalafu ni wa Rwanda
FB fix sana
Usishangae kumbe ni wa Mara
Wapo wanaozuga hadi kusoma Harvard University
.........
Mnyarwanda hawezi ongea English km ilehalafu ni wa Rwanda
Pole sana dada, nilikumisi hadi nikaanzisha oparesheni Msake jimenaNimefanikiwa kurejea japo mambo bado hayajakaa sawa
Werrason kwema mkuuKaribuni wana wapotevu
Namtafuta ndugu yangu Diego Costa kapoteaWerrason kwema mkuu
Kwemaaa Bablai?Nambie mutu ya kongo
Kwema BablaiWerrason kwema mkuu
Mpe heshima yake huyu ni top scorer wa EPLNamtafuta ndugu yangu Diego Costa kapoteaView attachment 420473kama ukimuona unitaarifu
Mpe heshima yake huyu ni top scorer wa EPL
Arsenal hawawezi kua na striker hatari kama diego costaView attachment 420474Costa where are you?
Ulikuwa wapiJambo humuu
Shida si umekosea nywila amaNimewamiss sana jamani,
Bado sijaweza kutumia application yani inazunguka tu ila haifunguki.
Na kwa siku zilizopita nilikuwa naambiwa ya kuwa nimekosea password sasa sijui shida ni nini??
Poa poaBitoz yupo kweli
BW jimena nae yupo au
Nawasalimia wote wana makapuku wenzangu wote humu
Mi nipo sana tu
Huyu ni nani jonax??View attachment 420474Costa where are you?