sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Hapana kwa kweli afande [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Hapana kwa kweli afande [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nini tatizo? hapa peace and love tuUnatafutwa na kikofia
Kikofia anasema tangu arsenal wamekufunga hujaonekana hapaNini tatizo? hapa peace and love tu
Pole, tulikumis piaNimewamiss sana jamani,
Bado sijaweza kutumia application yani inazunguka tu ila haifunguki.
Na kwa siku zilizopita nilikuwa naambiwa ya kuwa nimekosea password sasa sijui shida ni nini??
Mwambie nimechange mfumo sasa hiviKikofia anasema tangu arsenal wamekufunga hujaonekana hapa
Nipo mkuu, tupo tu, habari za kifungoUpo shululu???
Kitumbo bhana kinampeleka puta.. Tulisafri kidogo kwenda ibiza kuibariki mimba..[emoji23] [emoji23]Upoo.......Mbona shemela wetu simuoni siku hizi
Dah!! Tumshukuru aliyetuumba.Me mzmaa
Ifute af download tenaNimewamiss sana jamani,
Bado sijaweza kutumia application yani inazunguka tu ila haifunguki.
Na kwa siku zilizopita nilikuwa naambiwa ya kuwa nimekosea password sasa sijui shida ni nini??
Asante ankaliPole, tulikumis pia
Baada ya kuifuta ndio imekubali japo haifunguki, mwanzo ilikuwa inanigomea kabisa inadai password nakosea wakati ni hiyo hiyoIfute af download tena
Apps yao ina matatizo sanaBaada ya kuifuta ndio imekubali japo haifunguki, mwanzo ilikuwa inanigomea kabisa inadai password nakosea wakati ni hiyo hiyo
[emoji120]Dah!! Tumshukuru aliyetuumba.
Nimefanikiwa kurejea japo mambo bado hayajakaa sawaOooh namwona jimenaaa
InaudhiiiApps yao ina matatizo sana