shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Ndoto za kuwa na Africa isiyo na ukabila haimaanishi kutokuwa na tofauti za kikabila katika Bara la Africa wala kifo cha kawaida cha kabila za asili za Africa
Tofauti za utamaduni na lugha ni utajiri iliorithi kutoka kwa wahenga wake. Changamoto imekuwa ni jinsi ya kutunza utajiri huo bila kuchochea migogoro ya kikabila na kutetelesha utaifa
Maneno haya ni kutoka kwa Profesa mashuhuri Alli Mazrui katika kitabu kinachoitwa Julius Nyerere Africa's Titan on a global stage,
Kilichoandikwa na Profesa Mazrui pamoja na Lindah L Mhando, chini ya mada "post -Tribal Nyerere to post -Racial Obama. Comparative vision in political Leadership