Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hata Jf umaarufu unatafutwa
Lakini km una nyota ya bundi hata uwe na thread 100 huupati
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............
Hamna laana mbaya kama kukata tamaa katika maisha.
Katika maisha pambana kivyovyote vile uwezavyo ili ufanikiwe(Pesa)
1476791508909.jpg
[emoji383] [emoji385] [emoji385] [emoji386] [emoji387] [emoji384]
 
Hamana laana mbaya kama kukata tamaa katika maisha.
Katika maisha pambana kivyovyote vile uwezavyo ili ufanikiwe(Pesa)View attachment 420259[emoji383] [emoji385] [emoji385] [emoji386] [emoji387] [emoji384]
Nasikia mwenzetu umewekeza kwenye puli(pool) na kupata maendeleo makubwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
....
 
Back
Top Bottom