Makapuku Forum

Makapuku Forum

Upo kaka!
Nipo mkuu
1476778267542.jpg
 
Wote tumeuona huo Uzi
Mbona kajibu vizuri tu tatizo lenu kila kitu mnaleta siasa......angahikeni na maisha yenu badala ya kuwazingua waliofanikiwa kihalali na kwa kupambana

Mtu kuchukua jina la mtu mwingine shule ya msingi zamani haikuwa ishu ht we huko kwenu wapo rundo na wala siyo krsi
Pambana na maisha tuache wivu hata tumuulize maswali sijui kuhusu mkewe haitusaidii kitu
Mi uzi niliuona tangu ukiwa na comment 3 na nilikuwa nausoma tu
.....
 
yaani nimeona raha kuulizana na waziri,ndo lilikuwa lengo langu!!!
NB:ule uhakiki wa vyeti uanzie juu
 
Mimi nishawahi kukutana na waheshimiwa/watu maarufu na kuongea nao hivyo nachukuliaga kawaida tu maana pia wapo ndugu zangu wa karibu ambao ni maarufu lakini sihangaiki nap sana

Nilichokiona kwa Mwigulu ni upambanaji wake kimaisha wkt wajinga wanaona utata tu wa hayo majina
....................
 
Mfano nilionana na Edo Kumwembe enzi hizo akiwa gazeti la BINGWA pale New Habari maeneo ya Sinza....Jamaa alikuwa harakitambi badobado,mcheshi...Leo hii kawa supastaa mkubwa namcheki tu social media na samtaimu nacomment kwenye page yake FB
Nilichojifunza kwake ni kwamba tuwe na bidii na kupenda mambo/kazi/dili tunazozifanya na juhudi ndio kila kitu ingawa nyota zinahusika...Leo jamaa yupo Supersport
Maisha samtaimu wenge tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
............
 
hata mimi huwa nacomment nitakubuni nikiona jina lako
 
Back
Top Bottom