Makapuku Forum

Hapa ni kapuku au maana ya kapuku huijui, utani hauwezi kujibiwa kwa tusi
Mbona sisi huwa tunaitana ndezi na hakuna mtu anajali kuwa katukanwa? Hii ni familia bora
Mkwepa kodi awekwe chini hajaelewa kf vizuri, ku react imekua kawaida kwake...sisi tu famili huwa tunageuza udhaifu wa mwingine kwa maneno ya upole
 
Hatakiwi kukasirika, hadi kf kufikia hapa tumepitia mengi, hatimaye tu wamoja..aelewe hilo
Cc mkepa kodi
Ndiyo tunaendeleza sasa, ukishajua mwenzako hapendi kashifa au matusi basi acha, kuheshimiana ni kitu cha muhimu sana hata kama hatufahamiani, utani sio lazima uwe nakashifa au matusi
 
Mkwepa kodi awekwe chini hajaelewa kf vizuri, ku react imekua kawaida kwake...sisi tu famili huwa tunageuza udhaifu wa mwingine kwa maneno ya upole
Mkuu mimi napenda utani lakini sio kashifa au matusi, alianza jana, sikumjibu nikajua atanielewa kama sikupendezwa na utani wake, lakini karudia tena leo, kwa hiyo si kuwa na njia nyingine tena ya kufikisha ujumbe
 
[emoji4] Thanks Papaa Quigley kwa mazageti, briz ako wapi Jimena???[emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…