Makapuku Forum

Makapuku Forum

1973 - Henry Kissinger ambaye alikuwa ni mshauri wa masuala ya Ulinzi Marekani na Le Duc Tho wa Vietnam wapewa Tuzo ya amani ya Nobel kwa mchango wao wa kusitisha Vita ya Vietnam.
9aec72cfe15b5d0532f66508a48a160d.jpg
IMG_20161016_093110.jpeg
 
1953 - Paulo Roberto Falcao anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Roma na Timubya Taifa ya Brazil.

Anachukuliwa kama mmoja ya wanasoka mahiri kuwahi kutokea nchini Brazil.

Alikuwepo katika Brazil iliyoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 1982 pale Spain, akiwa na Socrates, Zico ( Pele mweupe ) na Eder. Kikosi hiko kinatajwa kama Brazil bora iliyoshindwa kubeba Kombe la Dunia.

Radamel Falcao alipewa jina la Falcao na baba yake kwa heshima ya Mbrazil huyu.
aise
 
Back
Top Bottom