Makapuku Forum

BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii
tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano
fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda
na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1
week.
MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo
safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe
tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi
wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani
hakuna tution mpaka week ijayo.
MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy
wake ambaye ndo (BOSS): Dear hakuna tution
wiki hii nakuja kwako.....
BOSS anamwambia sekretari wake: Siendi
Serena tena coz mjukuu wangu
atanitembelea.
SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena
MUME (anampigia Mpango): dah! mpenzi,
huyu mke wangu haendi tena. Shit! So hadi
next time plz
Mpango wa kando a.k.a teacher (anampigia
mwanafunzi): Darasa kama kawaida sorry for
the earlier message.
MWANAFUNZI: darling tution inaendelea
kumbe, so nakuja wiki ijayo!!
BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari ya
Serena iko palepale......
 

RIP
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…