Nimeona maiti yake haina jeraha kichwani ndio maana nimeulizaAlikoki bastola yake na kuingiza mdomoni kwake kisha kujipiga risasi ( nafikiria ilikuwa hivyo ndivyo alivyojiua)
Huwa nachukia neno kadhaa.Leo ni Siku ya Kuzaliwa ya Bitoz.
Ni mmoja kati ya Waasisi wa Makapuku Forum.
Ametimiza miaka kadhaa, hivyi nikiwa kama mkuu wa segment hii, namtakia kila la heri katika siku hii muhimu kwake, Mungu ambariki ampe uhai mrefu zaidi na wenye mafanikio. Amen
1964 - Martin Luther King Jr anapewa Tuzo ya amani ya Nobel kwa mchango wake katika mapambano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani.
Ilikuwa adhabu tamu, aonyeshe utam wa kifo kabla hajamuua HitlerAlikoki bastola yake na kuingiza mdomoni kwake kisha kujipiga risasi ( nafikiria ilikuwa hivyo ndivyo alivyojiua)
Rommel alijiua kwa njia gani?1944 - Field Marshal Erwin Rommel katika Jeshi la Nazi la Ujerumani analazimishwa ajiue mwenyewe baada ya kuhusika kula njama za kutaka kumuua Kiongozi wa Nchi hiyo Adolf Hitler.
Baada ya kukiri kuhusika kwake, Hitler anamwambia Rommel ajiue mwenyewe ili kulinda heshima yake kutokana na mchango wake katika Taifa hilo.
Rommel anajiua na inatangazwa kuwa alikufa kwa ajali ya gari na anazikwa mazishi ya kitaifa kwa kupewa heshima zote.
Yah, ndio maana ile movie inavoanza imeandikwa " Based on a true story "Kumbe it was real ESCAPE FROM SOBIBOR
Happy birthday [emoji512] bitozLeo ni Siku ya Kuzaliwa ya Bitoz.
Ni mmoja kati ya Waasisi wa Makapuku Forum.
Ametimiza miaka kadhaa, hivyi nikiwa kama mkuu wa segment hii, namtakia kila la heri katika siku hii muhimu kwake, Mungu ambariki ampe uhai mrefu zaidi na wenye mafanikio. Amen
Kwa hisani ya Mussolini5 tuma picha tuondoe maswali tataNimeona maiti yake haina jeraha kichwani ndio maana nimeuliza
Picha sikuweka kwa sababu maalumu
......
Huyo ndiye Hitler
NimekaribiaKaribu
Asante sana mkuu mussolin kwa leo katika historia iliyo ShibaLeo katika Historia Nzito:
Kwa udhamini mnono wa Nyerere Day na Bitoz Day sina la ziada, tukutane tena kesho.
Muwe na siku njema.
Kiasi chake, japo alinusurika kuuwawa.Je alifanikiwa kwa kiasi gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji147] [emoji154] [emoji158] [emoji149] [emoji166]Leo ni Siku ya Kuzaliwa ya Bitoz.
Ni mmoja kati ya Waasisi wa Makapuku Forum.
Ametimiza miaka kadhaa, hivyi nikiwa kama mkuu wa segment hii, namtakia kila la heri katika siku hii muhimu kwake, Mungu ambariki ampe uhai mrefu zaidi na wenye mafanikio. Amen
Barikiwa mussolin5Leo katika Historia Nzito:
Kwa udhamini mnono wa Nyerere Day na Bitoz Day sina la ziada, tukutane tena kesho.
Muwe na siku njema.
Ila wale raia wana roho mbaya hatariIlikuwa adhabu tamu, aonyeshe utam wa kifo kabla hajamuua Hitler
1981 - Makamu wa Rais wa Misri Hosni Mubarak anachaguliwa kuwa Rais wa Nchi hiyo mara baada ya kuuwawa kwa Rais Anwar Sadat.
Hosni Mubarak anakuja kukaa madarakani kwa miaka 30 kabla ya kutolewa kwa nguvu ya umma ambapo maandamano yalifanyika kila pembe ya Nchi hiyo.
Alijipiga risasi
Pepo haliwezi kuua shetaniLaiti angefanikiwa kumuua Hitler.....
Sawa sawa DiktetaYah, ndio maana ile movie inavoanza imeandikwa " Based on a true story "