Makapuku Forum

Sidhani kama ni teknokojia imechelewa singida ila hakukuwa na uwekezaji mana wataalam wa ujenzi hata kama wapo nje ya singida lakini wanajenga popote tu
Pia mkoa ulisahaulika ila awamu hii ya viwanda tutaona mabadiliko
 
Pia mkoa ulisahaulika ila awamu hii ya viwanda tutaona mabadiliko

Nadhani pia uchumi wa singida nao ulipeleekea hii hali na wawekezaji wakashindwa kufika singida
Pia ardhi ya singida imekauka sana japo inafanya poa kwa alizeti... Afu wenyeji wa singida ni mamwinyi sana kama wa tabora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…