MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Naona bado mmelala basi nitarudi baadaye, poleni na msiba wa masaburi
Da mkuu ungeweka na source kabisaMasaburi amefariki dunia, RIP masaburi
Tuko macho mkuu. Si unajua time za kujiandaa kwenda jobNaona bado mmelala basi nitarudi baadaye, poleni na msiba wa masaburi
Mkuu nenda jukwaa la siasa kuna breaking newsDa mkuu ungeweka na source kabisa
Hata mimi najiandaa mkuu Panga tu muda wako vizuriTuko macho mkuu. Si unajua time za kujiandaa kwenda job
Nimesha ona boss. Dah jamaa alikuwa bado bado kijana. Anyway pengine ni mipango ya mungu. R.I.P masaburi[emoji24] [emoji24]Mkuu nenda jukwaa la siasa kuna breaking news
Mkuu acha uharibifu wa hela, tugawie wenzako wenye shida hahahahaha
wanamwita mzee wa kufikiri kwa kutumia makalio hahahahahaNimesha ona boss. Dah jamaa alikuwa bado bado kijana. Anyway pengine ni mipango ya mungu. R.I.P masaburi[emoji24] [emoji24]
Ha ha sasa si alikuwa akiona chura akili zote zinahama [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]wanamwita mzee wa kufikiri kwa kutumia makalio hahahahaha
Hahahahaha alikuwa anapenda sana chura hahahahahaHa ha sasa si alikuwa akiona chura akili zote zinahama [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahahaha alikuwa anapenda sana chura hahahahaha
Mnateta mfu!!!Hahahahaha alikuwa anapenda sana chura hahahahaha
Mzima wew!Moningi Makapuku famili
Amebadilika bhanaPopote alipo.. Aniwie radhi.. Tembo mvaa suruali chini ya mkia..[emoji23] [emoji23]
Natamani timu ndogo kama hizo zifanye vizuri kuondoa kiburi cha simba na yangaKweli mkuu stand wakiendelea hivi lig itakuwa nzur
Kweli mkuuKweli mkuu stand wakiendelea hivi lig itakuwa nzur