Makapuku Forum

*View attachment 416666View attachment 416667View attachment 416668
Nyongeza
**********
Leo ni siku ya kuzaliwa Ledley King
Ni beki wa zamani na nahodha wa Tottenham na pia aliichezeaTimu ya Taifa ya England

Alizaliwa Oct 12 1980
..........
sawa mkuu.

Huyu alikuwa na jeraha sugu la goti hali iliyomfanya awe anafanya mazoezi peke yake tofauti na wenzake.
Alikuwa na kipaji kikubwa sana ila tatizo ni majeruhi wa mara kwa mara " Injury prone "
 
Kuna mgonjwa Wa matatizo ya akili kule Mirembe alimkimbiza daktari huku ameshika kisu kikali. Daktari alikimbia sana huku akiwa na hofu kuu. Hatimaye, akafika mahali ambapo hakukuwa na njia ya kupita, akapiga magoti na kusema sala ya mwisho.Yule mgonjwa akamkaribia kabisa na kumwambia....Ni zamu yako sasa.Nikimbize.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…