Ni kweli kamba jamaa reasoning yake ipo juu na anajua vitu vingi lakini wakati mwingine anakuaga anageuza maneno tu na kuanza kutumia yale mavoca yakeAnabisha kwa fact sasa nyie wa blahblah mtamuweza vipi
.....
Fafanua hapoKama cha propesa, kwasabu mi najua kuna mstari mwembamba sana kati ya akili nyingi na ukichaa [emoji4][emoji4]
UkaombeweAsante kichaa mwenzangu....[emoji39]
Shululu+sweetiep majirani vichaa!!!!Asante kichaa mwenzangu....[emoji39]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mi nilikula pesa zao
Wanapenda mabishoo...tunaazima tu hadi sandals ili tukang'oe matoto makali
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Kuna thread kamnyamazisha Mlozi hadi huruma akabaki kupost emoji tuNi kweli kamba jamaa reasoning yake ipo juu na anajua vitu vingi lakini wakati mwingine anakuaga anageuza maneno tu na kuanza kutumia yale mavoca yake
Tumevamiwa na mtandao wa tiGoMimi mkuu sikua nimepinda kivile ila naamini huu ukuni huku chini uliniweka kwenye game.
Hawa naona walikua wanaambiana mimi mwishi wa siku sio nilikula nyapu tuu bali hadi tiGO nitafuta ya geti kali wa Mh...
Na poketi money aliyokua anapewa nilikua namtunzia
Hata hapo hastahili labda nyumbani keakeTutamweka pale Posta lakini ya London
Hii imekaa ki ?????[emoji119][emoji119][emoji119] nimekusoma mkuu,.. mana nilidhani ni MISSION IMPOSSIBLE
Bahati nzuri nilizoeana na Mama ntilie akawa ananiwekea na kanyama ka kuzugia na mchuzi si unajua ucheshi unapendwaUmenikumbusha mbali afu wali ndondo na ndizi mbivu ulikua unapanda balaa [emoji4][emoji4]
Wanadam wanasahau haraka leo wanamzomea RooneySasa itabidi wamuongeze Rooney
Lasivyo ataandamana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
......
Tumevamiwa na mtandao wa tiGo
[emoji2] Ile ya mlozi nlicheka sanaa, maana aliumbuliwa vibaya sanaaKuna thread kamnyamazisha Mlozi hadi huruma akabaki kupost emoji tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
......
.......
Mnoko sanaHuoni nilivyomjibu....we kiranga uache kiranga chako[emoji23][emoji23][emoji23]
ππππππππKuna thread kamnyamazisha Mlozi hadi huruma akabaki kupost emoji tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
......
.......
Punguza ukali wa maneno humu ustaarabu ndo ngao yetuHii fursa naitamani ije tena sema sidhani maana yule manzi saiv atakuwa kaolewa
Ila kama vipi kikimuwasha nipo maana hakunaga ushemeji.
Hawaramuwezi yule mpaganiHaya link hiyo hapo https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/18002973
Kujeni muone mpambano wa ki,ranga vs Sweetiepie
Cc: Bitoz The Book
[emoji2] [emoji2] [emoji2]