Makapuku Forum

[emoji41] haya Tozi Nyangema
 
Watoto wengi wa vigogo ni mapepe na wazinzi shida yao ni mapenzi tu siyo pesa

Duh mi alinidaodia sana coz nilikuwa napikiwa tu mapochopocho wakati home wananitumia pesa ya wali ndondo nikirudi likizo wanashangaa sijakonda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
 
Missing you my shem....au mmeenda wapi na dada yangu?[emoji4]
[emoji2] leo nmecheka sana baada ya kumuona Sweetiepie amekuja kwenye jukwaa la intelijensia kuchangia mada iliyopo, mara Ki,ranga akatokea na kuanza kumshambulia Sweetiepie kwa maswali..

Kilichofuata kwa Sweetiepie kilikuwa ni hiki[emoji116]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hahahaaaaaaaaa![emoji23]
 
Huoni nilivyomjibu....we kiranga uache kiranga chako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu we nae umeyaleta huku ya nini....[emoji36][emoji36][emoji36]
 
Hahahaha eti hela ya wali ndondo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…