shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Wewe umeacha liniMh!!! Mimi sio mpenzi wa Selfie.
Dah!!! Ila kweli watu wanapiga Selfie mpaka huwa nawashangaa[emoji1]
Wewe umeacha liniMh!!! Mimi sio mpenzi wa Selfie.
Dah!!! Ila kweli watu wanapiga Selfie mpaka huwa nawashangaa[emoji1]
Kumbe upo Milembehao wa uchi ndo wanaletwa milembe!!
😡😡😡😀😀😀😀😀😀ukiona unapenda ila hupendwi fanya yafuatayo...
1.tafuta kamba
2.tafuta kamba ngumu
3.iwe ngumu sana
4.hakikisha ni ngumu
5.tengeneza bembea
6.endelea kubembea..
maisha sio lazima upendwe, jipende!!!
endelea kubembea...
Ndio maana imejengwa kwenye makao makuu na serikalihao wa uchi ndo wanaletwa milembe!!
nipo Dodoma yaan hapo nilipo naiona milembe ileeeeeeeeeee mlimaniKumbe upo Milembe
lakini kwanini hawamleti huyu PULIMBA?????Ndio maana imejengwa kwenye makao makuu na serikali
Maana viongozi wengi ni vichaa itarahisisha huduma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Kumbe upo kwenye mvinyonipo Dodoma yaan hapo nilipo naiona milembe ileeeeeeeeeee mlimani
Pole na kichaa, jana ilikuwa maadhimisho ya vichaa???Kumekucha na makucha yake kila mtu na kichaa chake
Wanachukua kwanza Mchele nafasi zikibaki watachukua na pumbalakini kwanini hawamleti huyu PULIMBA?????
Nimekaa sana Dodoma, ajabu sipajui Milembeukizidiwa mi nitakuwa mwenyeji wako😀😀😀
😱😱😱😱Wanachukua kwanza Mchele nafasi zikibaki watachukua na pumba
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
.......
Mimi cna[emoji124]Kweli tumetofautiana kiwango cha ukichaa tu lakini kila mtu ana chake
milembe ipo karibu na Gereza kuu la Isanga ukileta mbwembwe kule unawekwa ndaniNimekaa sana Dodoma, ajabu sipajui Milembe
tuliwekeana shindano la kupiga picha na rafiki yangu,nilipiga selfie 1997 kwa siku mbili mpaka nilitapika,japo nilishinda ila tangu siku sijapiga tena
Kwani ni Selfie gani inayozungumziwa???[emoji15]Wewe umeacha lini
Weka picha[emoji41]nipo Dodoma yaan hapo nilipo naiona milembe ileeeeeeeeeee mlimani
Unapotezea sio [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwani ni Selfie gani inayozungumziwa???[emoji15]
Kunae mtu unamdhania ni kichaaa?Mimi cna[emoji124]
Af acha uhuni, hufananii ujue!!![emoji1]Unapotezea sio [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]