jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Ni ile inayotumia kamera ya mbereKwani ni Selfie gani inayozungumziwa???[emoji15]
Ni ile inayotumia kamera ya mbereKwani ni Selfie gani inayozungumziwa???[emoji15]
Moningi mukongomaniMorning peoples[emoji111]
Labda utakuwa wewe peke yako hahahahahahapa tupo wangapi??
ebu ngoja nije
We mama unatafuta nini huku kwenye kijiwe cha Makapuku
Na kwako pia JimenaView attachment 415865View attachment 415866View attachment 415867
Kwa udhamini mnono kabisa wa Makapuku wote niite Jimena Jimenes
Muwe na siku njema wote
nilipita kusalimiaWe mama unatafuta nini huku kwenye kijiwe cha Makapuku
Shida iko wapiSiamini huu utafiti, tena umetolewa Tz[emoji107]
Weka picha[emoji41]
Utafiti wa twaweza lazima ungemsifia malaika kuwa anapunguza hiyo idadi ya vichaahuu utafiti umefanywa na TWER WE ZER au??
Hahahahaha kichaa ni kichaa tu hata awe mstaarabu hahahahahanadhani hata mimi ni kichaa ila kistaarabu sana
kwwwwwwwwwii kwiiiiiiiiiiHahahahaha kichaa ni kichaa tu hata awe mstaarabu hahahahaha
Ukichaa ukizidi utapajua tuNimekaa sana Dodoma, ajabu sipajui Milembe
Haya Karibu tena siku nyingine, huku sio wachoyo wa likes, ukitoa kwa wenzako na wewe wanakupa kama njugu hahahahahanilipita kusalimia
Huyu mbona hana tatizo?We mama unatafuta nini huku kwenye kijiwe cha Makapuku
Basi ngoja nimwiteHuyu mbona hana tatizo?
Siyo kila mkongwe ni adui yetu...wengine ni watu poa tufano Angel Nylon mbona anakujaga hapa
........
ha hahah sawa nitakuwa nakuja kutoa likeHaya Karibu tena siku nyingine, huku sio wachoyo wa likes, ukitoa kwa wenzako na wewe wanakupa kama njugu hahahahaha
Anajua sana... Wimbo wake upi Una uelewa sana.?Hata mimi naukubali sana mziki wake
Mambo Miss Chagga JF Queen?nilipita kusalimia
Karibu mamaanilipita kusalimia