AlphaPii
JF-Expert Member
- May 15, 2015
- 1,169
- 1,853
hapa tupo wangapi??Utafit wa watanzania ni vichaa unanipa mushkeli Aisee
ebu ngoja nije
hapa tupo wangapi??Utafit wa watanzania ni vichaa unanipa mushkeli Aisee
Aliwahi kucheza mpira?
YeahAliwahi kucheza mpira?
Kupingana na huu utaft wao,wa ukichaa.Sijakusoma[emoji56]
huu utafiti umefanywa na TWER WE ZER au??Hata baadhi ya Makapuku ni vichaa
Mfano nanihii anaongeaga peke yake(kidding)
Mimi nauamini huo utafiti maana kichaa siku zote hujiona yupo sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
Acheni kuleta zenuhuu utafiti umefanywa na TWER WE ZER au??
Mh!!! Mimi sio mpenzi wa Selfie.Kupingana na huu utaft wao,wa ukichaa.
*wanasema wamechukua sample ya watu wanaojipiga sana selfie kuwa ndio dalili ya ukichaa*
nadhani hata mimi ni kichaa ila kistaarabu sanaAcheni kuleta zenu
Tatizo vichaa hawajijui
Chukulia mfano mtu anayekereka wenzake huwa hajishtukii na hata ukimshtua ataendeleza ligi ya kibishi
Au kichaa lazima avue nguo
......
tuliwekeana shindano la kupiga picha na rafiki yangu,nilipiga selfie 1997 kwa siku mbili mpaka nilitapika,japo nilishinda ila tangu siku sijapiga tenaMh!!! Mimi sio mpenzi wa Selfie.
Dah!!! Ila kweli watu wanapiga Selfie mpaka huwa nawashangaa[emoji1]
Siamini hadi nikuone ukitembea uchinadhani hata mimi ni kichaa ila kistaarabu sana
hao wa uchi ndo wanaletwa milembe!!Siamini hadi nikuone ukitembea uchi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
[emoji134] [emoji134]tuliwekeana shindano la kupiga picha na rafiki yangu,nilipiga selfie 1997 kwa siku mbili mpaka nilitapika,japo nilishinda ila tangu siku sijapiga tena