Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
namwambia "ipo" sio "ilikuwepo",hata hivyo hii lugha ya malkia inamshinda hadi Mkuu wa kaya haaa haaaThere was...not is
namwambia "ipo" sio "ilikuwepo",hata hivyo hii lugha ya malkia inamshinda hadi Mkuu wa kaya haaa haaaThere was...not is
....umahiri wa kuongea...3.Julius K. Nyerere;rais wa kwanza wa Tanzania pia ni mmoja wa viongozi bora waliowahi kutokea Afrika,aliheshimika duniani kwa umahiri wake wa kuongea tangu akidai uhuru umoja wa mataifa,alishiriki ukombozi wa bara la Afrika,aliunganisha Tanganyika na Zanzibar,alikuwa "mjamaa",alipambana na rushwa na alistaafu urais kwa hiari yake mwaka 1984.
![]()
Kiongozi wa ukweli huyo3.Julius K. Nyerere;rais wa kwanza wa Tanzania pia ni mmoja wa viongozi bora waliowahi kutokea Afrika,aliheshimika duniani kwa umahiri wake wa kuongea tangu akidai uhuru umoja wa mataifa,alishiriki ukombozi wa bara la Afrika,aliunganisha Tanganyika na Zanzibar,alikuwa "mjamaa",alipambana na rushwa na alistaafu urais kwa hiari yake mwaka 1984.
![]()
lakini alikuwa "ECOWAS" 1999 nadhani nilibugi kutenganishaKuwa makini kwa vitu inavyovileta hapa..
Vinasomwa na watu wengi..
[emoji2] usiwe kama mlozi Jr anayeshika masikio kule kwenye thread(historia) yake uchwara.
[emoji120] all de best my friend
alimshawishi Karume huyu mzee alikuwa noma....umahiri wa kuongea...
Ok, ila nadhani utabiri wangu unaelekea kutimia sasa..lakini alikuwa "ECOWAS" 1999 nadhani nilibugi kutenganisha
Usjali twende tunamwambia "ipo" sio "ilikuwepo",hata hivyo hii lugha ya malkia inamshinda hadi Mkuu wa kaya haaa haaa
3.Julius K. Nyerere;rais wa kwanza wa Tanzania pia ni mmoja wa viongozi bora waliowahi kutokea Afrika,aliheshimika duniani kwa umahiri wake wa kuongea tangu akidai uhuru umoja wa mataifa,alishiriki ukombozi wa bara la Afrika,aliunganisha Tanganyika na Zanzibar,alikuwa "mjamaa",alipambana na rushwa na alistaafu urais kwa hiari yake mwaka 1984.
![]()
Ukinisoma vizuri hapa...umahiri wa kuongea...utaelewa namaanisha ninialimshawishi Karume huyu mzee alikuwa noma
Siku ya 3 hii hajapostKuwa makini kwa vitu inavyovileta hapa..
Vinasomwa na watu wengi..
[emoji2] usiwe kama mlozi Jr anayeshika masikio kule kwenye thread(historia) yake uchwara.
[emoji120] all de best my friend
Mandela alibebwa na kupewa umaarufu na Wazungu ila hamfikii Kambarage.Kwangu mimi Nyerere ndo # 1
Labda kwavile hajawahi kufungwa jela tu ndo kazidiwa na Madiba
........
mkuu unataka kuleta uchochezi??Ukinisoma vizuri hapa...umahiri wa kuongea...utaelewa namaanisha nini
Kua mpoleOk, ila nadhani utabiri wangu unaelekea kutimia sasa..
Embu malizia hao waliobakia nione kama nilikuwa sawa kutabiri vile
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Madiba anastahili hiyo no. 1View attachment 415236View attachment 415237View attachment 415238View attachment 415239
Kwangu mimi Nyerere ndo # 1
Labda kwavile hajawahi kufungwa jela tu ndo kazidiwa na Madiba
........
Malizia nondo watu tulaleMandela alibebwa na kupewa umaarufu na Wazungu ila hamfikii Kambarage.
Sahihi kabisaMandela alibebwa na kupewa umaarufu na Wazungu ila hamfikii Kambarage.
Bila hyo kitu ni hatar kwangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe huna Ujasiri
Umaskini wako hauhusiani na NyerereMadiba anastahili hiyo no. 1
Na katika hizi takwimu naona Nyerere wamempendelea sana kumuweka no. 3
Imgekuwa ni mimi nngemuweka Nyerere no. 11 au nimtoe kabisa katka top ten.
[emoji53] USINIULIZE NI KWANINI.
Maana tutazua mjadala mwingine mzito nikitetea hoja yangu
[emoji120] all de best my friend
Huwezi kumbeza Mandela dunia itakushangaa the book, hakuna mwanadamu anaweza kiteswa zaidi ya nusu ya maisha yake, then akawasamehe adui zakeMandela alibebwa na kupewa umaarufu na Wazungu ila hamfikii Kambarage.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Siku ya 3 hii hajapost
Itakuwa kina "Karanga" wamempa onyo PM kwamba akiendeleza pumba watamchana palepale
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........