shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Kuna kitu viongozi wengi hawakijuiAlimtanguliza Patrick lkn naye alimfuata tena kifo cha aibu
Hakuna mtu aliyekuja kuota Duniani,
Kila mtu kifo kinamuhusu
Kuna kitu viongozi wengi hawakijuiAlimtanguliza Patrick lkn naye alimfuata tena kifo cha aibu
Hivi aliwahi kuwa Mjeda?Sikujua km Kabila Sr alikuwa mjeda
.....
Hakuna marefu yasiyo na ncha.Alimtanguliza Patrick lkn naye alimfuata tena kifo cha aibu
Kweli kabisaKuna kitu viongozi wengi hawakijui
Hakuna mtu aliyekuja kuota Duniani,
Kila mtu kifo kinamuhusu
ni kweli mkuu.Koti/suti mzigo tu
Sipendi hili vazi
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
...........
Yap,ndio maana wakati anamtoa mabutu, wajeda walimpa sapotiHivi aliwahi kuwa Mjeda?
Lugha gonganaSio kabila ni seseko mobutu
Hapo sawa.Yap,ndio maana wakati anamtoa mabutu, wajeda walimpa sapoti
Bitoz hajakuelewa muweke sawa, Uliposema Joseph Desire Mobutu yeye kaelewa ni KabilaHivi aliwahi kuwa Mjeda?
Nilifikiri Desire KabilaHivi aliwahi kuwa Mjeda?
Naona akina uchwara hawalielewi hiliHakuna marefu yasiyo na ncha.
Joseph Desire Mobutu baadae alikuja kubadili jina na kujiita Mobutu Sesesseko Kuku Bendu Wazabanga.Bitoz hajakuelewa muweke sawa, Uliposema Joseph Desire Mobutu yeye kaelewa ni Kabila
Sio neno ni kuwekana sawa tuLugha gongana
.......
Hapana Ni Joseph Mobutu.Nilifikiri Desire Kabila
.......
Nyumbani kwa MafisiemTunamuenzi Lumumba hadi tuna mitaa ya Lumumba bongo kwetu huku
Joseph ndio imechangia uelewe ni kabila, hata mimi ckujua kuwa mobutu naye ni josephNilifikiri Desire Kabila
.......