shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Kwa kutumia number sio uchawiKuna mambo hayatokei kwa bahati mbaya, hutokea kwa kupangwa.
Kwa kutumia number sio uchawiKuna mambo hayatokei kwa bahati mbaya, hutokea kwa kupangwa.
Daaah R.I.P lumumba6.Patrice Lumumba(Prime Minister);alikuwa waziri mkuu wa kwanza kuchaguliwa huko DRC,aliongoza harakati za kuondoa utawala wa kikoloni wa "belgium".Baada ya nchi kuchukulia kijeshi na "Joseph Mobutu",Lumumba alifungwa gerezani kisha kuuawa january 17,1961.Umoja wa Mataifa unalaumiwa kwa kupuuzia mauaji haya.
![]()
Kweli aiseeVizuri havidumu.
6.Patrice Lumumba(Prime Minister);alikuwa waziri mkuu wa kwanza kuchaguliwa huko DRC,aliongoza harakati za kuondoa utawala wa kikoloni wa "belgium".Baada ya nchi kuchukulia kijeshi na "Joseph Mobutu",Lumumba alifungwa gerezani kisha kuuawa january 17,1961.Umoja wa Mataifa unalaumiwa kwa kupuuzia mauaji haya.
![]()
Hiyo statement yake nimeipenda sana...wamishenari walikuja na biblia sisi tulikuwa na ardhi wametufundisha kufumba macho tukiwa tunasali...kuyafumbua ardhi haipo tena.
Apumzike kwa amani7.Thomas Sankara;alikuwa rais wa Burkina Faso 1983-1987,alichukua madaraka akiwa na umri wa miaka 33.Alisifika kwa kuondoa utawala wa "kifaransa" na rushwa serikalini .Aliuawa oktoba 5,1987 na kikundi cha kijeshi.Pia aliitwa "The African Che Guevara".
![]()
Ndo maana waliendelea8.Jomo Kenyatta;alikuwa rais wa kwanza wa Kenya iliyopata uhuru 1963 hadi alipofariki 1978.Anasifika kwa kuleta uchumi imara wa Kenya,kutofuata ujamaa na kufuata sera za kimagharibi.
![]()
Zoezi la kukamatwa kwake liliratibiwa vilivyo na Kanali Joseph Desire Mobutu.
Sishabikii suti[emoji2] vazi la kawaida sana hilo, hata kwenye mitumba linapatikana kwa kuunga unga.
Unaanza na trauza then shati after that koti + moka = MWENDO MDUNDO
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wafia dini wa Jf wanawakilisha akili za waafrikaHiyo statement yake nimeipenda sana...wamishenari walikuja na biblia sisi tulikuwa na ardhi wametufundisha kufumba macho tukiwa tunasali...kuyafumbua ardhi haipo tena.
sawa kanso.Sishabikii suti
Ht chuo tulitakiwa tuvae hivyo lakini sikuwahi kuvaa koti ht siku moja.....navhomekeamashati ya kitozi na suruari safi ya kitambaa cheusi inatosha
Hats siku nikioa kwenye harusi sihitaji suti/koti na hakuna wa kunilazimisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
.......
Hongera kubana matumiziSitumii sabuni natumia wese
Sikujua km Kabila Sr alikuwa mjedaZoezi la kukamatwa kwake liliratibiwa vilivyo na Kanali Joseph Desire Mobutu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wafia dini wa Jf wanawakilisha akili za waafrika
.......
[emoji23][emoji23][emoji23]Hongera kubana matumizi
Swadakta...Wafia dini wa Jf wanawakilisha akili za waafrika
.......
Alimtanguliza Patrick lkn naye alimfuata tena kifo cha aibuZoezi la kukamatwa kwake liliratibiwa vilivyo na Kanali Joseph Desire Mobutu.
Alikuwa mjeda yuleSikujua km Kabila Sr alikuwa mjeda
.....
Sio kabila ni seseko mobutuSikujua km Kabila Sr alikuwa mjeda
.....
Koti/suti mzigo tusawa kanso.