Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
8.Jomo Kenyatta;alikuwa rais wa kwanza wa Kenya iliyopata uhuru 1963 hadi alipofariki 1978.Anasifika kwa kuleta uchumi imara wa Kenya,kutofuata ujamaa na kufuata sera za kimagharibi.
![]()
Jomo & Uhuru Kenyatta
.......