Makapuku Forum

Makapuku Forum

9.Samora Machel;alikuwa rais wa kwanza wa Msumbiji tangu 1975 hadi alipofariki 1986.aliheshimika miongoni mwa wanamsumbiji kwa uongozi wake,matendo na fikra zake.alifariki kwa ajari ya ndege.
Samora-Machel.jpg
IMG_20161009_211025.jpeg
IMG_20161009_211015.jpeg
IMG_20161009_211035.jpeg
 
Mchana nilikuwa naangalia game ya man na liver Enzi za kina song, baadaye arsenal na Man Enzi za Viera na Roy

Kumbe ugomvi wao siku hiyo ulianzia wakati wanatoka kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, refarii aliwaonya mapema sana

Timbwili likahamia uwanjani, Neville ndio alikuwa anasimulia
Hahaha...zamani kulikuwa na wababe bhana.
 
Back
Top Bottom