Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Salama sijui pande hizoZa kuadimika?
Salama sijui pande hizoZa kuadimika?
Akhsante mkuu I see, speed ilikua ni 360kph kama sikoseiMishe poa ze briz, karbu Leo historia mode activated at kp
Hahahahaha haya banaNi jibu na swali kwa wakati mmoja
Poa poa [emoji120]Ukiwa huru unicheki babake
1985 - Bruno Mars anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Mkuu kazi ya bata hiyo nitake radhi tafadhali[emoji1]Shemtibuko anatibua mambo tyuuu
Morogoro kunani? Ama waenda saka tonge?Morogoro mkuu
1991 - Siku ya Uhuru wa Croatia.
Ilijitenga toka kwa Yugoslavia.
Bien
Sio halali unakwepa kodiBiashara halali kabisa
[emoji7][emoji8] tek kea..Missing you more
Huwa namkubali sana huyu dogo jinsi alivyo simple
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Mkuu kazi ya bata hiyo nitake radhi tafadhali[emoji1]
Ni poa sana karibu ndugu ze kitabu
Tupo, karibu Ze Kitabu
merci papaTupo, karibu Ze Kitabu
Ngoja nichchekiAisee hivi shekilango alidunguliwa na Eid Amin kwli au ni story za kahawa?
Pata kidogo hapaAisee hivi shekilango alidunguliwa na Eid Amin kwli au ni story za kahawa?