[emoji120] JJView attachment 414425View attachment 414427View attachment 414428
Sina la ziada kutoka meza ya magazeti
Kwa hisani ya Che Guevara tukutane tena kesho muda na wakati kama wa leo. Niite Jimena Jimenes
Adios
Mishe poa ze briz, karbu Leo historia mode activated at kpPoa poa Shemtibuko, mishe zinaendaje lakini?
1968 - Zvonomir Boban anazaliwa.
Ni mwanasoka wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Croatia.
Alisifika sana kwa umakini wake kupiga pasi za mwisho zenye macho na utulivu wake mkubwa uwanjani.
Haruna Moshi akaiga jina lake.
Bilivu mi hatuko mbali mkuu, ccmama ikiondoka kila kitu kitakuwa hadharaniila sio leo wala kesho.
Wanasoma kwenye shule bora kabisa zilizopo tz, si unajua mimi ni mfanyabiasharaEndelea kufyatua ILA wasiwe chokoraa
na baadhi ya shauri +ve alizikataaTatizo mwl hakupenda kukosolewa
Ilikua nirudi wiki iliyopita sema kuna kazi imejitokeza upande wa piliMkuu majukumu ya huko yataisha lini natamani nikuunge mahali
Aisee hivi shekilango alidunguliwa na Eid Amin kwli au ni story za kahawa?ila sio leo wala kesho.
HakikaNafikiri utafika wakati historia tutainyoosha, baada ya kizazi cha uongo kikifa
Anatibua nini tena??Shemtibuko anatibua mambo tyuuu
Ameturudisha nyuma sana, watu wanapumbazwa na vimisemo ambavyo havikuzaa matundana baadhi ya shauri +ve alizikataa
Kwema kabisaNshakaribia ankali, kwema pande hizo?
Wa unga???Wanasoma kwenye shule bora kabisa zilizopo tz, si unajua mimi ni mfanyabiashara
Missing you moreNi poa sana am missing you
Ukiwa huru unicheki babakeIlikua nirudi wiki iliyopita sema kuna kazi imejitokeza upande wa pili
Ndio kilichobaki kwa sasaJimena wewe..! Basi tu ngoja nife na utamu wangu[emoji45]
Eti pesa sio msingi wa maendeleoAmeturudisha nyuma sana, watu wanapumbazwa na vimisemo ambavyo havikuzaa matunda
1980 - Nick Cannon anazaliwa.
Ni mwanamuziki, Muigizaji na Muongozaji wa filamu toka nchini Marekani.
Alishakuwa mpenzi wa Mariah Carey.
Biashara halali kabisaWa unga???
Ni jibu na swali kwa wakati mmojaMkuu hilo sio jibu bali ni swali