Makapuku Forum

Msome umuelewe huyo mwanazuoni
Ukipata wasaa wa kuzungumza/kuongea na mzee yoyote, muulize kuhusu historia ya nchi yetu na ubaguzi waliokuwa wanafanyiana watu weusi zidi ya mzungu, utashangaa sana na hautaamini

Na zamani wazee wetu walikuwa na akili sana, changamoto za shule walikosa na walikuwa na misimamo sana

Na kama eneo fulani likionekana ni wajuaji wengi, mkononi hatii mguu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…