Muhindi mmoja alisilimishwa na sheikh akamwambia kila unapokula usisahau kusema Bismillah la sivyo utakua unakula na shetani. Basi yule muhindi kuna kipindi alisahau kusema Bismillah kwa miezi 2 ,basi shetani akamfuata sheikh akamwambia mkumbushe muhindi kusema Bismillah maana ataniuwa kwa pili pili!