Makapuku Forum

Haka ka-nchi kamejificha sana afu kako mbali balaa, kama ndo una safari ya kutoka fiji kwenda asia tu unakula masaa ya kutosha na kama ndo route ya moja kwa moja ulaya au marekani usiombe kabisa.. Kama una afya mgogoro unaweza ukafia njiani
Tena ni kisiwa hivyo full boti na mitumbwi
Km hujui kuogelea lala tu

.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…