Makapuku Forum

Kawaida STROKE mtu haponi bali huweza kukituliza tu ni miongoni mwa magonjwa hatari humfanya mtu apooze na kibaya zaidi ikiathiri ubongo unapoteza kumbukumbu na kuwa chizi(akili zinapotea)

NI ugonjwa unaotesa sana duniani na chanzo cha vifo vingi

Kwahiyo kiukweli Song kupata janga baya na huu unaweza kuwa mwisho wake
Tumuombee
.................
 
amen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…