Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Kumbe hata hiyo gari hapo kwa avatar siyo yake? Au hii post imekosewa?Yani hapa nishaipanda hiyo gari kabisa...nasubiri tu dreva jambilo aiondoshe tukajifiche zetu.Aminia sana mtu wangu jamaa ana vi-element vya usonko hivi so pambana kama vile unavyopambana kupata kazi ila baada ya kuipata wewe ni bata mwanzo mwisho..Ila usije tusahau sasa..kaka cheki ninavyokufagilia hapa ili hali huna kitu kabisa.. jambilo
Age = 20+Tuanze na wewe
Next time kuwa serious mkuu..Adult
Jogoo
Uswaz Joto City
.................
Good questn..Upo single kwani mkuu
Hakika tumempata OMMY DIMPOZ wetu hapa.Aje hapa atupe majibu la sivyo tutaamini ni kweli peterchoka ni Ommy Dimpoz wa MAKAPUKU Forum.
Ananiudhi ndiyo maana najikuta naropoka gari ni yake kabisa na ana kagorofa bado hakajaisha..vizuri..Kumbe hata hiyo gari hapo kwa avatar siyo yake? Au hii post imekosewa?Yani hapa nishaipanda hiyo gari kabisa...nasubiri tu dreva jambilo aiondoshe tukajifiche zetu.
Mkuu mbona umepanic.Age = 20+
Sex = Male
Location= Arusha.
Next time kuwa serious mkuu..
Sweetie...unataka niseme nini tena ma'beibe? Hapa kama ni mnyama keshaeleke 'kibla'anakusubiri tu wewe mchinjaji.Na iwe hivyo kwako kijana
Sex as sex or sex as gender??
Upo single kwani mkuu
Hujakosea lakini mim cio padre mkuuJambilo si alisema yeye ni mtumishi wa bwana jamani
Ha ha ha haaaaaa....Ananiudhi ndiyo maana najikuta naropoka gari ni yake kabisa na ana kagorofa bado hakajaisha..vizuri..
Beiby,usiwasikilize hao..nisikilize mimi peke yangu.Hujakosea lakini mim cio padre mkuu
Makapuku uprising! Balaa,mnatisha.
Kamatia hapo hapo..Sweetie...unataka niseme nini tena ma'beibe? Hapa kama ni mnyama keshaeleke 'kibla'anakusubiri tu wewe mchinjaji.
Wakuu tunatoka utukufu mdogo hadi utukufu mkubwa na nguvu hadi nguvu, nashairi na like ziwe 7 mnaonaje!Mkuu ni kweli yawezekana maana mda mwingi unakuta tuko chumbani tumejipumzisha ila usitie shaka maana yupo kwenye himaya kabisa so mambo itakuwa sawa...
Hahahaha mpe hata kiti kwanza apumzike..Giraffe welkomeπππ
If u allow me let me give u a tourπ