Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Oct 1, 2016 #114,841 The Book said: kaaaaaaaaaaaaaaaaah Click to expand... Leo watu wanabana likes sijui ndo utani wa jadi umeanza .........
The Book said: kaaaaaaaaaaaaaaaaah Click to expand... Leo watu wanabana likes sijui ndo utani wa jadi umeanza .........
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Oct 1, 2016 #114,842 MKWEPA KODI said: Haya nawatakia mafanikio mema Click to expand... Bado dakika kadhaa tuuu
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Oct 1, 2016 #114,843 The Book said: .Simba wameamua kususia mechi kwa sababu zisizojulikana! Click to expand... Nani kakwambia ??? Ushaanza kituaribu kisaikolijia ???
The Book said: .Simba wameamua kususia mechi kwa sababu zisizojulikana! Click to expand... Nani kakwambia ??? Ushaanza kituaribu kisaikolijia ???
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Oct 1, 2016 #114,844 jerrysonkiria said: Bado dakika kadhaa tuuu Click to expand... Tunampakata mnyama .....
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Oct 1, 2016 #114,845 MKWEPA KODI said: Umesahau jerrysonkiria Click to expand... Mwache anisahau hivyohvyo na baadae atasahau njia ya kwake
MKWEPA KODI said: Umesahau jerrysonkiria Click to expand... Mwache anisahau hivyohvyo na baadae atasahau njia ya kwake
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 Oct 1, 2016 #114,846 jerrysonkiria said: Ila huyoo jamaa wa yanga anaeza akaongeza speed bila taarifa na jamaa akapiga mweleka Click to expand... Ataanguka...ila kwa mbinde!
jerrysonkiria said: Ila huyoo jamaa wa yanga anaeza akaongeza speed bila taarifa na jamaa akapiga mweleka Click to expand... Ataanguka...ila kwa mbinde!
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Oct 1, 2016 #114,847 jerrysonkiria said: Nani kakwambia ??? Ushaanza kituaribu kisaikolijia ??? Click to expand... mpaka sasa haji manara hajulikana alipo na mavugo inasemekana amerudi burundi kwa muda akidai kuwa ana mafua
jerrysonkiria said: Nani kakwambia ??? Ushaanza kituaribu kisaikolijia ??? Click to expand... mpaka sasa haji manara hajulikana alipo na mavugo inasemekana amerudi burundi kwa muda akidai kuwa ana mafua
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Oct 1, 2016 #114,848 Bitoz said: Tunampakata mnyama ..... Click to expand... Subiri tuone,,, nani atampakata mwenzie,, tunge wafunga mechi ya wabunge ningeamini unayosema ila hatuwezi kukalia mara mbili lazima tuwaoneshe sisi sio watu wa mchezomchezo
Bitoz said: Tunampakata mnyama ..... Click to expand... Subiri tuone,,, nani atampakata mwenzie,, tunge wafunga mechi ya wabunge ningeamini unayosema ila hatuwezi kukalia mara mbili lazima tuwaoneshe sisi sio watu wa mchezomchezo
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Oct 1, 2016 #114,849 Liverpool mpaka sasa wapo hoi
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Oct 1, 2016 #114,852 The Book said: mpaka sasa haji manara hajulikana alipo na mavugo inasemekana amerudi burundi kwa muda akidai kuwa ana mafua Click to expand... +Kikofia & Dikteta ........
The Book said: mpaka sasa haji manara hajulikana alipo na mavugo inasemekana amerudi burundi kwa muda akidai kuwa ana mafua Click to expand... +Kikofia & Dikteta ........
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Oct 1, 2016 #114,853 Bitoz said: View attachment 410298 Click to expand... ametambua kuwa ni popular name na sio popular team,safi sana
Bitoz said: View attachment 410298 Click to expand... ametambua kuwa ni popular name na sio popular team,safi sana
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Oct 1, 2016 #114,854 The Book said: mpaka sasa haji manara hajulikana alipo na mavugo inasemekana amerudi burundi kwa muda akidai kuwa ana mafua Click to expand... Kumbe kichekesho tuuuh,,, ulianza kutibua ubungo wangu ila sasa umeimarika na mashambulizi yanasonga mbele lazima mchezee Leo tupeane updates tu
The Book said: mpaka sasa haji manara hajulikana alipo na mavugo inasemekana amerudi burundi kwa muda akidai kuwa ana mafua Click to expand... Kumbe kichekesho tuuuh,,, ulianza kutibua ubungo wangu ila sasa umeimarika na mashambulizi yanasonga mbele lazima mchezee Leo tupeane updates tu
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Oct 1, 2016 #114,855 eden kimario said: Haiitaji kua hata na uprofesa au digree leo kujua simba anashinda kigumu kutabiri ni watashinda mangapi tu Click to expand... Me ni mshabiki wa THIMBA lakini natabiri kulala mapema.
eden kimario said: Haiitaji kua hata na uprofesa au digree leo kujua simba anashinda kigumu kutabiri ni watashinda mangapi tu Click to expand... Me ni mshabiki wa THIMBA lakini natabiri kulala mapema.
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Oct 1, 2016 #114,856 werrason said: Me ni mshabiki wa THIMBA lakini natabiri kulala mapema. Click to expand... kidogo una akili
werrason said: Me ni mshabiki wa THIMBA lakini natabiri kulala mapema. Click to expand... kidogo una akili
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Oct 1, 2016 #114,857 Horseshoe Arch said: Ataanguka...ila kwa mbinde! Click to expand... Sijajua ataanguka staili gani kwa mbinde au chali ila amfikishe tu salama simba mwenzangu
Horseshoe Arch said: Ataanguka...ila kwa mbinde! Click to expand... Sijajua ataanguka staili gani kwa mbinde au chali ila amfikishe tu salama simba mwenzangu
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Oct 1, 2016 #114,858 werrason said: Me ni mshabiki wa THIMBA lakini natabiri kulala mapema. Click to expand... Hupendi ujinga
werrason said: Me ni mshabiki wa THIMBA lakini natabiri kulala mapema. Click to expand... Hupendi ujinga
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Oct 1, 2016 #114,859 muda wa mechi sitakuwa hewani sipendagi presha
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Oct 1, 2016 #114,860 shululu said: Liverpool mpaka sasa wapo hoi Click to expand... Wapigwe tu leo