Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Leo watu wanabana likes sijui ndo utani wa jadi umeanzakaaaaaaaaaaaaaaaaah
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Leo watu wanabana likes sijui ndo utani wa jadi umeanzakaaaaaaaaaaaaaaaaah
Haya nawatakia mafanikio mema
.Simba wameamua kususia mechi kwa sababu zisizojulikana!
Tunampakata mnyamaBado dakika kadhaa tuuu
Umesahau jerrysonkiria
Ataanguka...ila kwa mbinde!Ila huyoo jamaa wa yanga anaeza akaongeza speed bila taarifa na jamaa akapiga mweleka
mpaka sasa haji manara hajulikana alipo na mavugo inasemekana amerudi burundi kwa muda akidai kuwa ana mafuaNani kakwambia ??? Ushaanza kituaribu kisaikolijia ???
Tunampakata mnyama
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
+Kikofia & Diktetampaka sasa haji manara hajulikana alipo na mavugo inasemekana amerudi burundi kwa muda akidai kuwa ana mafua
ametambua kuwa ni popular name na sio popular team,safi sana
mpaka sasa haji manara hajulikana alipo na mavugo inasemekana amerudi burundi kwa muda akidai kuwa ana mafua
Me ni mshabiki wa THIMBA lakini natabiri kulala mapema.Haiitaji kua hata na uprofesa au digree leo kujua simba anashinda kigumu kutabiri ni watashinda mangapi tu
kidogo una akiliMe ni mshabiki wa THIMBA lakini natabiri kulala mapema.
Ataanguka...ila kwa mbinde!
Hupendi ujinga [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Me ni mshabiki wa THIMBA lakini natabiri kulala mapema.
Liverpool mpaka sasa wapo hoi