Makapuku Forum

Burudani hii kutoka kwa Mr. Phil Collins ililetwa kwenu kwa hisani babu kubwa ya Simba na Yanga sina jipya jingine mpaka hapo kesho tena ila tu tukutane Taifa, Mlikuwa nami Sweetiepie. Tchau Amigos [emoji136]
 
Mkuu humu unaonekana Simba upo peke yako ni bora utoke haraka wasije kukutoa ngeu hahahahaha
Pekee yake kivipi, wakati mm nipo hapa!

Nmegundua hapa tuko mashabiki wa Simba wawili tu.

Ila nawaapia, hakiyanani TUKISHINDA nitaleta fujo hapa kwa muda wa siku 2.
Nitasumbua vibaya sanaaaaaa


Nitatambariiiing

Nitaleta majigambo

Nitaringa

Nitasherekea kwa ukaliiii.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…