Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG_20160929_235401.jpeg
 
LucY: mambo kaka?
BoY: poa nambie mrembo lucy
LucY: kaka naomba unisaidie elfu 5 nikanywe angalau Azam juice na mihogo.
BoY: , vipi Una boyfriend?
LucY: ndio ninae
BoY: sasa Dada lucy uliona wapi mteja wa Vodacom akahudumiwa na tigo?.

*sipendi ujinga mimi*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom