Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
hahaha...hatari3.Rekodi ya kupiga mswaki yawekwa huko Phillipines;wanafunzi wapatao 18,000 waweka rekodi ya kupiga mswaki kwa pamoja katika jiji la manila.View attachment 408383
..loading namba 4
Umenikumbusha jinsi Mark Viduka alivyosababisha ugonjwa wa moyo wa kocha wa Liverpool enzi hizo HoulierIlivuma kama Super depo. Jamaa siku hizi wamepotea.
Huwa naifananisha sana na Leeds United.
amazing...3.DUNIA MBILI(TWO WORLDS),USAView attachment 408405
loading 4.....
Mbona unajihami mkuuNapita tu
Umenikumbusha jinsi Mark Viduka alivyosababisha ugonjwa wa moyo wa kocha wa Liverpool enzi hizo Houlier
Kuna mechi Leeds walicheza na Arsenal, walihitaji suluhu wabaki ligi kuu, Viduka akasawazisha dk za mwisho, wakabaki.Umenikumbusha jinsi Mark Viduka alivyosababisha ugonjwa wa moyo wa kocha wa Liverpool enzi hizo Houlier
Ngoja nilitafute, Bolton na Leeds walifanikiwa mara mbili kuizimisha arsenal na ndoto za ubingwa, kama unakumbuka vizuri 2002, arsenal alikuwa anaongoza kwa tofauti point kama 12 zidi ya man, hizo timu zikatibua kabisa ndoto za arsenalKuna mechi Leeds walicheza na Arsenal, walihitaji suluhu wabaki ligi kuu, Viduka akasawazisha dk za mwisho, wakabaki.
Kituko kikawa kwa commentator ambae alikuwa ni mnazi wa Leeds, jinsi alivyotangaza goli la Leeds na kumsifia Viduka. Itafute youtube ucheke...
nimeenda kuiangalia,imeandikwa Viduka vs asernal crazy commentatorKuna mechi Leeds walicheza na Arsenal, walihitaji suluhu wabaki ligi kuu, Viduka akasawazisha dk za mwisho, wakabaki.
Kituko kikawa kwa commentator ambae alikuwa ni mnazi wa Leeds, jinsi alivyotangaza goli la Leeds na kumsifia Viduka. Itafute youtube ucheke...
Swadakta mkuu...umemsikia mtangazaji?nimeenda kuiangalia,imeandikwa Viduka vs asernal crazy commentator
Msimu huo sasa, Leeds anatoa suluhu 2-2 Highbury, sasa goli la pili kasawazisha Viduka.Ngoja nilitafute, Bolton na Leeds walifanikiwa mara mbili kuizimisha arsenal na ndoto za ubingwa, kama unakumbuka vizuri 2002, arsenal alikuwa anaongoza kwa tofauti point kama 12 zidi ya man, hizo timu zikatibua kabisa ndoto za arsenal
nimemsikiaSwadakta mkuu...umemsikia mtangazaji?
Mark Dean naye aliwahi kushangilia gori la Tottenham,wakati yeye ndio alikuwa refa wa mchezoMsimu huo sasa, Leeds anatoa suluhu 2-2 Highbury, sasa goli la pili kasawazisha Viduka.
Aisee mtangazaji alishindwa kuficha mahaba yake.
Msimu huo sasa, Leeds anatoa suluhu 2-2 Highbury, sasa goli la pili kasawazisha Viduka.
Aisee mtangazaji alishindwa kuficha mahaba yake.
Mark Dean naye aliwahi kushangilia gori la Tottenham,wakati yeye ndio alikuwa refa wa mchezo
hahaha...yule refa huwa simuamini sana, anapenda sana kutoa penati na red card.Mark Dean naye aliwahi kushangilia gori la Tottenham,wakati yeye ndio alikuwa refa wa mchezo
hahaha...yule refa huwa simuamini sana, anapenda sana kutoa penati na red card.
Msimu wa 2014 /2015 katika mechi 14 alizochezesha za arsenal, arsenal ilishinda mechi 1,droo 3 11 kufungwa na red card 6hahaha...yule refa huwa simuamini sana, anapenda sana kutoa penati na red card.
Msimu wa 2014 /2015 katika mechi 14 alizochezesha za arsenal, arsenal ilishinda mechi 1,droo 3 11 kufungwa na red card 6