MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Ujue anataka kuomba hela hahahahahakama unachat na demu.akikwambia
zima data kama hupendagi ujinga
- nikwambie kitu my??
The Book wa Makapuku
mzingaaaUjue anataka kuomba hela hahahahaha
Kwa mimi misiba miwili ningehudhuria kasoro huo wa mchungajiKijijini kwetu akifa mchungaji,tunakesha na maombi.
Akifa mlevi tunakesha na pombe.
sasa leo kafa changudoa.
Wazee wapo kwenye kikao ili watuambie nini cha kufanya.
Hatupendagi ujinga sisi.
The Book wa Makapuku
Kweli mkuuUkipata Mchumba wa Nje ya NCHI.
Jitahidi sana kitandani maana unapeperusha bendera ya nchi yetu.
[HASHTAG]#hatupendagi[/HASHTAG] ujinga
The Book wa Makapuku
Kada wao ni sacajoKwani tcra wanaingia huku kwa Makapuku
HahahahahaShemdoe na Teacher
Teacher:who is Pharmacist
Shemdoe;(kanyoosha mkono.)
Tech:ina maana darasa lote anajua huyu tu.shika fimbo uwachape hawa vilazza,shemdoe baada kumaliza kuchapa wenzie akakaa.
Tech:haya shemdoe jibu.
Shemdoe;pharmacist is farmer who assist others
- sasa hivi shemdoe yupo MOI wenzie hawatakagi ujinga.
What a *****Kijijini kwetu akifa mchungaji,tunakesha na maombi.
Akifa mlevi tunakesha na pombe.
sasa leo kafa changudoa.
Wazee wapo kwenye kikao ili watuambie nini cha kufanya.
Hatupendagi ujinga sisi.
The Book wa Makapuku
kweeeAbunuasi Aliingia Kwa Kinyozi Na
Mtoto,
Amekusahau?"
Mtoto"Yule Sio Baba Angu Alinikuta
Njiani Akaniambia
Tuingie Hapa Tunyolewe Bure."
What a ******Kijijini kwetu akifa mchungaji,tunakesha na maombi.
Akifa mlevi tunakesha na pombe.
sasa leo kafa changudoa.
Wazee wapo kwenye kikao ili watuambie nini cha kufanya.
Hatupendagi ujinga sisi.
The Book wa Makapuku
Hahahahaha mtoto mjanjaAbunuasi Aliingia Kwa Kinyozi Na
Mtoto,
Akasema Anyolewe Nywele Na Ndevu
Alipomaliza Akasema Na Mtoto Naye Anyolewe,
Wakati Mtoto Ananyolewa Yeye
Akaaga Anaenda
Kumnunulia Mtoto Juisi,
Masaa 3 Yakapita Bila Abunuasi
Kutokea Kinyozi Akamwambia Dogo "Vipi Baba Ako
Amekusahau?"
Mtoto"Yule Sio Baba Angu Alinikuta
Njiani Akaniambia
Tuingie Hapa Tunyolewe Bure."
Basi tumekwisha hahahahahaKada wao ni sacajo
HahahahahaWhat a *****
Kwenye huo wa chengu.......mh!Kwa mimi misiba miwili ningehudhuria kasoro huo wa mchungaji
Mmmmh kicheko chako kinafanana na Sauti ya kwarekweee
kweee
ujue haya mambo yapo.Shemdoe na Teacher
Teacher:who is Pharmacist
Shemdoe;(kanyoosha mkono.)
Tech:ina maana darasa lote anajua huyu tu.shika fimbo uwachape hawa vilazza,shemdoe baada kumaliza kuchapa wenzie akakaa.
Tech:haya shemdoe jibu.
Shemdoe;pharmacist is farmer who assist others
- sasa hivi shemdoe yupo MOI wenzie hawatakagi ujinga.
Ungefanya nini kama ni wewekweee
kweee
Hapo mimi ndiyo napapenda maana ningewafyatua mpaka wangebadili huo utaratibuKwenye huo wa chengu.......mh!