Tupo kwenye daladala nimemgusa mtu wa mbele ili apunguze sauti ya mziki,akatoa elfu 10 akanipa akidhani mi konda,ikabidi nitokee dirishani
sipendagi ujinga mimi The Book wa Makapuku
Tupo kwenye daladala nimemgusa mtu wa mbele ili apunguze sauti ya mziki,akatoa elfu akanipa akidhani mi konda,ikabidi nitokee dirishani
sipendagi ujinga mimi The Book wa Makapuku
Kijijini kwetu akifa mchungaji,tunakesha na maombi.
Akifa mlevi tunakesha na pombe.
sasa leo kafa changudoa.
Wazee wapo kwenye kikao ili watuambie nini cha kufanya.
Hatupendagi ujinga sisi. The Book wa Makapuku