Muda wa segment kila mtu story zake zihusu segment siyo blahblah....siyo lazima kila mtu kapost wakati hana cha kuchangia
Segment zenyewe zipo chache lakini kuna wazushi hawaoni umuhimu wake hadi Siku mtu aache kuzileta halafu wataanza kelele fulani mbona huleti kile kipindi?
UNAFIKI
...............