Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 25, 2016 #110,761 MKWEPA KODI said: Moningi Makapuku, aisee kweli nyie ni walalahoi, yaani wote.mmechoka na kulala fofofo mwee Click to expand... Nani kalala eti
MKWEPA KODI said: Moningi Makapuku, aisee kweli nyie ni walalahoi, yaani wote.mmechoka na kulala fofofo mwee Click to expand... Nani kalala eti
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 25, 2016 #110,762 MKWEPA KODI said: Ngoja nihamie kwenye jukwaa la siasa Click to expand... Huko ndo wamelala
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 25, 2016 #110,763 QUIGLEY said: Nani kalala eti Click to expand... Hahahahaha mkuu upo?, mimi ndiyo nataka kulala
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 25, 2016 #110,764 QUIGLEY said: Huko ndo wamelala Click to expand... Kweli kabisa wanaoshiba wanalala vizuri
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 25, 2016 #110,765 MKWEPA KODI said: Hahahahaha mkuu upo?, mimi ndiyo nataka kulala Click to expand... Ntalalaje mkuu Rwanda haina bahari, maendeleo yake yanategemea kichwa changu?
MKWEPA KODI said: Hahahahaha mkuu upo?, mimi ndiyo nataka kulala Click to expand... Ntalalaje mkuu Rwanda haina bahari, maendeleo yake yanategemea kichwa changu?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 25, 2016 #110,766 MKWEPA KODI said: Kweli kabisa wanaoshiba wanalala vizuri Click to expand... Biblia inakiri kuwa usingizi wa kibarua ni mtamu, japo simaanishi humu ni vibarua lkn
MKWEPA KODI said: Kweli kabisa wanaoshiba wanalala vizuri Click to expand... Biblia inakiri kuwa usingizi wa kibarua ni mtamu, japo simaanishi humu ni vibarua lkn
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 25, 2016 #110,767 QUIGLEY said: Ntalalaje mkuu Rwanda haina bahari, maendeleo yake yanategemea kichwa changu? Click to expand... Kwi kwi kwi kwi kwi jengeni bwawa kwi kwi kwi kwi kwi
QUIGLEY said: Ntalalaje mkuu Rwanda haina bahari, maendeleo yake yanategemea kichwa changu? Click to expand... Kwi kwi kwi kwi kwi jengeni bwawa kwi kwi kwi kwi kwi
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 25, 2016 #110,768 QUIGLEY said: Biblia inakiri kuwa usingizi wa kibarua ni mtamu, japo simaanishi humu ni vibarua lkn Click to expand... Hata kama humanishi hili ni jukwaa la Makapuku
QUIGLEY said: Biblia inakiri kuwa usingizi wa kibarua ni mtamu, japo simaanishi humu ni vibarua lkn Click to expand... Hata kama humanishi hili ni jukwaa la Makapuku
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 25, 2016 #110,769 MKWEPA KODI said: Kwi kwi kwi kwi kwi jengeni bwawa kwi kwi kwi kwi kwi Click to expand... Meli zitaingiaje bwawani? Nilimwomba kikwete alipe bandari niilishe tz akakataa bhana
MKWEPA KODI said: Kwi kwi kwi kwi kwi jengeni bwawa kwi kwi kwi kwi kwi Click to expand... Meli zitaingiaje bwawani? Nilimwomba kikwete alipe bandari niilishe tz akakataa bhana
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 25, 2016 #110,770 MKWEPA KODI said: Kwi kwi kwi kwi kwi jengeni bwawa kwi kwi kwi kwi kwi Click to expand... Meli zitaingiaje bwawani? Nilimwomba kikwete alipe bandari niilishe tz akakataa bhana
MKWEPA KODI said: Kwi kwi kwi kwi kwi jengeni bwawa kwi kwi kwi kwi kwi Click to expand... Meli zitaingiaje bwawani? Nilimwomba kikwete alipe bandari niilishe tz akakataa bhana
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 25, 2016 #110,771 MKWEPA KODI said: Hata kama humanishi hili ni jukwaa la Makapuku Click to expand... Dhana ya ukapuku ni kiwango cha miaka michache au muda mfupi kujiunga na sio uhaba wa pesa au ujinga na umaskini
MKWEPA KODI said: Hata kama humanishi hili ni jukwaa la Makapuku Click to expand... Dhana ya ukapuku ni kiwango cha miaka michache au muda mfupi kujiunga na sio uhaba wa pesa au ujinga na umaskini
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 25, 2016 #110,772 QUIGLEY said: Meli zitaingiaje bwawani? Nilimwomba kikwete alipe bandari niilishe tz akakataa bhana Click to expand... Jenga mabwawa makubwa kama yale ya misri, muombe rafiki yako asiyejaribiwa atakupa bandari
QUIGLEY said: Meli zitaingiaje bwawani? Nilimwomba kikwete alipe bandari niilishe tz akakataa bhana Click to expand... Jenga mabwawa makubwa kama yale ya misri, muombe rafiki yako asiyejaribiwa atakupa bandari
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 25, 2016 #110,773 QUIGLEY said: Dhana ya ukapuku ni kiwango cha miaka michache au muda mfupi kujiunga na sio uhaba wa pesa au ujinga na umaskini Click to expand... Hahahahaha mkuu unawatetea makapuku hahahahaha
QUIGLEY said: Dhana ya ukapuku ni kiwango cha miaka michache au muda mfupi kujiunga na sio uhaba wa pesa au ujinga na umaskini Click to expand... Hahahahaha mkuu unawatetea makapuku hahahahaha
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 25, 2016 #110,774 MKWEPA KODI said: Jenga mabwawa makubwa kama yale ya misri, muombe rafiki yako asiyejaribiwa atakupa bandari Click to expand... Mdogomdogo ngoja anipe ajira ya MAPANGA SHAA kwanza
MKWEPA KODI said: Jenga mabwawa makubwa kama yale ya misri, muombe rafiki yako asiyejaribiwa atakupa bandari Click to expand... Mdogomdogo ngoja anipe ajira ya MAPANGA SHAA kwanza
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 25, 2016 #110,775 MKWEPA KODI said: Hahahahaha mkuu unawatetea makapuku hahahahaha Click to expand... Uwe na wakati mwema nina kazi ya kumalizia hapa
MKWEPA KODI said: Hahahahaha mkuu unawatetea makapuku hahahahaha Click to expand... Uwe na wakati mwema nina kazi ya kumalizia hapa
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 25, 2016 #110,776 QUIGLEY said: Mdogomdogo ngoja anipe ajira ya MAPANGA SHAA kwanza Click to expand... Hahahahaha atakupa tu hahahahaha
QUIGLEY said: Mdogomdogo ngoja anipe ajira ya MAPANGA SHAA kwanza Click to expand... Hahahahaha atakupa tu hahahahaha
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 25, 2016 #110,777 QUIGLEY said: Uwe na wakati mwema nina kazi ya kumalizia hapa Click to expand... Powa asubuhi njema
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,993 Reaction score 104,502 Sep 25, 2016 #110,778 Njian kurejea home.. Dua zenu tuu...
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 25, 2016 #110,779 makaveli10 said: Njian kurejea home.. Dua zenu tuu... Click to expand... Unatokea wp?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 25, 2016 #110,780 MKWEPA KODI said: Powa asubuhi njema Click to expand...