Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Hii inawakuta wengi[emoji23]Upo kwenye chumba cha mtihani swali limekugonga ukaamua kutoa smartphone yako na kuanza ku google kisha ku copy & kupest kwny booklet.
Ghafla lecturer anatokea mara kwa uoga ukaficha calculator na kuweka simu juu ya meza.
HAPO NDIO UTAJUA SHETANI YUPO
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Utakufa lakini utakufa soon kweli. .??Nakaribia kufa
Andaeni rambirambi....nguo zote za kitoz nachoma moto
Nitakuachia yeboyebo na boxer(siyo pikipiki)
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Thanks DictatorLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bob Marley, muwe na weekend njema.
Ijumaa Kareem.
Bye!!
Sweetiepie ulikuwa umejificha wapi?Hii inawakuta wengi[emoji23]
[emoji23]Maji ya baridi hahaha
Mzee wa Kitwanga.Ngoja nikapate supu maana jana nilizitweka sana
Nipo Nsekwa...sema majukumu sometyms yanabana.Sweetiepie ulikuwa umejificha wapi?
Pole sana kwa majukumu, nikafikiri shemeji kakuweka busyNipo Nsekwa...sema majukumu sometyms yanabana.
HahahahahaMzee wa Kitwanga.
Mbinu wanakufundisha wao wenyewe TRA ili mle woteNilifikiri hulipi ili unipe nami mbinu za kukwepa
HahahahahahaUpo kwenye chumba cha mtihani swali limekugonga ukaamua kutoa smartphone yako na kuanza ku google kisha ku copy & kupest kwny booklet.
Ghafla lecturer anatokea mara kwa uoga ukaficha calculator na kuweka simu juu ya meza.
HAPO NDIO UTAJUA SHETANI YUPO
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hamna....ubize tu wa kusaka pesa.Pole sana kwa majukumu, nikafikiri shemeji kakuweka busy
Kweli mkuuJana alisikia kilio chako
Kidogo kula na wenzioMbinu wanakufundisha wao wenyewe TRA ili mle wote
Hata kutumia pesa napo pana ubusyHamna....ubize tu wa kusaka pesa.
Hahahahaha naogopa lupangoKidogo kula na wenzio
Mhh inawekezwa kwanza matumiz sio sana ni ya kawaida tu.Hata kutumia pesa napo pana ubusy
Ni kweli mkuu kwa mfano unapofyatuana na mwenzako mna kuwa bize mpaka jasho linawatokaHata kutumia pesa napo pana ubusy
Mhhh! Umezidisha chumvi mkuu! Hivi mnafyatuana au mnaandaa kufyatua?Ni kweli mkuu kwa mfano unapofyatuana na mwenzako mna kuwa bize mpaka jasho linawatoka